Radio Uhai ni Redio ya Kikristo inayopatikana katika mji wa Tabora, Tanzania ikiwa na Lengo la kutoa huduma za Kiroho na kimwili kupitia Neno la Mungu pamoja na kuelemisha Jamii kuhusu Maswala Mbali mbali ya Kijamii na Kimaendeleo.

Radio uhai

Radio Uhai 94.1 FM Tabora Sauti ya Tumaini

© Radio Uhai