Changia Redio Uhai Ukiwa Tanzania

Jinsi Unavyoweza kuchangia Redio Uhai Ukiwa Tanzania

Redio Uhai ni erdio ya Kikristo inayopatikana katika mji wa Tabora, Tanzania. Unaweza kuisikiliza katika masafa ya 94.1.

Unaweza kutuma mchango wako kwa Redio Uhai kupitia simu yako katika namba zifuatazo:

Airtel Money +255-688-415-651

M-pesa +255-743-759-692

Kama uko nje ya Tanzania na ungependa kutuma Sadaka yako Redio Uhai, unaweza kutuma mchango kwa njia ya Western Union or MoneyGram kupitia namba ya Vodacom +255-743-759-692.

Kama uko nchini Tanzania unaweza kutuma Hundi ya Sadaka yako katika anuani ifuatayo nasi tutaipokea.

Redio Uhai FM Station
P.O.Box 691
Tabora, TANZANIA

Kama unataka kupata maelekezo ya namna ya kutuma hela kwa njia ya Airtel, MoneyGram au M-pesa tafadhari soma maelekezo katika tovuti zifuatazo:

http://africa.airtel.com/wps/wcm/connect/africarevamp/Tanzania/

http://www.moneygram.com/us/en/send-money-to-a-mobile-wallet

http://global.moneygram.com/tz/en/m-pesa

http://www.moneygram.com/us/en/how-to-send-money-internationally

http://moneygram.co.uk/send-money-to-a-mobile-wallet


How to Support Radio Uhai if you live in Tanzania

Radio Uhai is a Swahili Christian radio station in Tabora, Tanzania.

You may hear it at 94.1 FM.

You can also send support to the radio station through your cell phone through the following numbers:

Airtel Money +255-688-415-651

Mpesa +255-743-759-692

If you are in a country outside of Tanzania and you want to support Radio Uhai, you may send support with Western Union or MoneyGram through the Vodacom number +255-743-759-692

If you are inside Tanzania, you may send us a check or cashier’s check from a bank in Tanzania. In Tanzania, they do not accept checks, money orders or cashier’s checks from banks outside of Tanzania. At present paypal is not available.

This is our mailing address:

Radio Uhai FM Station

P.O.Box 691

Tabora, Tanzania

East – Africa

If you want directions on how to send money with Airtel or MoneyGram M-Pesa, please see these websites:

http://africa.airtel.com/wps/wcm/connect/africarevamp/Tanzania/

http://www.moneygram.com/us/en/send-money-to-a-mobile-wallet

http://global.moneygram.com/tz/en/m-pesa

http://www.moneygram.com/us/en/how-to-send-money-internationally

http://moneygram.co.uk/send-money-to-a-mobile-wallet


Radio Uhai 94.1 FM Tabora Sauti ya Tumaini

© Radio Uhai